Tekst Utworu

Haiyee aaah! Olelelelee Alfajiri imefika Anga inang'aa Mvua inaanza katika Ghafla tumbo la njaa Naweka sauti kwa spika Nipate umbea wa dar Mara simu inaita Jina la anko Twaha Akisema, mama yu hoi kitandani Kama si wa leo wa kesho Na kupona sizani Upate japo neno la mwisho Mi ndo mtoto wa pekee Nyumbani wananitegemea Mdogo wangu wa kike Hali duni alishagaolewa Tizama jasho langu la mnyonge Kipato hakikidhi mahitaji Napiga moyo konde Yarabi mola ndo mpaji Matatizo, matatizo Yatakeisha lini Matatizo Kila siku mimi Ewe mola Matatizo yatakwisha lini Japo likizo Nifurahi na mimi Mola aliniumba na subira Imani pekee ngao yangu Mbona nishasali sana Ila mambo bado tafarani Mama kanifunza kikabila Nikonde sana haini yangu Tena nijitume sana Na vya watu nisivitamani Hata mpenzi niliyenae Najua siku atanikimbia Itanitesa ye ndo nguzo Zile ngoja kesho badae Atazichoka kuzivumilia Anakosa hata matunzo Ona, nadaiwa kodi nilipopanga Nashinda road nikihanda Nishapiga hodi kwa waganga Kwa kuhisi narogwa Nikauza maji na karanga Nikawa dobi kwa viwanda Ila kote ziro ni majanga Mtindo mmoja Mi ndo mtoto wa pekee Nyumbani wananitegemea Mdogo wangu wa kike Hali duni alishagaolewa Tizama jasho langu la mnyonge Kipato hakikidhi mahitaji Napiga moyo konde Yarabi mola ndo mpaji Matatizo, matatizo Yatakeisha lini (ewe mola) Matatizo Kila siku mimi (jamani matatizo) Matatizo, (oh matatizo) Yatakeisha lini Japo likizo Nifurahi na mimi (iih matati...) Matatizo (matati...) Yatakeisha lini Matatizo Kila siku mimi (jama matatizo) Matatizo, matatizo Yatakeisha lini (ye iye) Japo likizo Nifurahi na mimi
Writer(s): Rajabu Abdukahal Ibrahim, Tresor Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out