Tekst Utworu

Moja ya ndoto zangu Ndoto Ni kuishi nawe milele Ohh nawe milele Kuishi nawe milele Upendo na hisia zangu Upendo Haujawahi shikwa na mwengine Ohh shikwa na mwengine Haujawahi shikwa na mwengine Unaondoka sawa Ila roho yangu umeishika Wewe kipenzi Ningekuwa na chawa Ningemwagiza kwako Akuambie urudi Sema ndo hakuna madoctor Wa upendo wapime ujue Athiriko nilivyoathirika moyo Nikidondoka niokote Na ukiumwa mi dawa Tutapendana kivyovyote Tulishachanjana Sina la kusema lolote Wakuchukuwe tu sawa Mana mi ndo najua kwanini Nilikosa muda Ohh kweli mapenzi Yanahitaji muda Kuchitiana kugombana Ni kwasababu ya muda Ohhh mapenzi Yanahitaji muda Mi mwenyewe nateseka Ni kwasababu ya muda Kweli nimekosea Na leo nakiri makosa kwako Nilikuonea Sikuwa na muda kabisa na wewe Ulivumilia Ukiwa unajua nitabadilika wowoo Kumbe ndo kwanza Ndo kwanza aaah Unaondoka sawa Ila roho yangu umeishika Wewe kipenzi Ningekuwa na chawa Ningemwagiza kwako Akuambie urudi Sema ndo hakuna madoctor Wa upendo wapime ujue Athiriko nilivyoathirika moyo Nikidondoka niokote Na ukiumwa mi dawa Tutapendana kivyovyote Tulishachanjana Sina la kusema lolote Wakuchukuwe tu sawa Mana mi ndo najua kwanini Nilikosa muda Ohh kweli mapenzi Yanahitaji muda Kuchitiana kugombana Ni kwasababu ya muda Ohhh mapenzi Yanahitaji muda Mi mwenyewe nateseka Ni kwasababu ya muda Sina la kusema La kusema sina Hata nikisema Nitajiumiza mwenyewe
Writer(s): Frank Ngumbuchi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out