album cover
Mteja
album cover
Utwór Mteja został wydany 8 stycznia 2016 przez Pili Pili Music jako część albumu Fungua Mlango
8 stycznia 2016
WytwórniaPili Pili Music
BPM106
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Ulikuwa wapi bana?
Mbona huonekani bana?
Ulikuwa wapi bana?
Mteja kapatikana
Tumepanga tukutane saa ngapi hapa
He bucheki time ni saa ngapi sasa
Kumbe ulikuwa na vijimambo vyako bana
Kumbe ulikuwa na vijimambo vyako bana
Pili pili eeh, pili pili eeh
Siyo kupenda kwangu ni makarao bana
Nilitoka mapema njiani wakanibamba
Wakanizungusha sasa ndio meniacha
Wakanizungusha sasa ndio meniacha
Sudi eeh, sudi eeh
Ulikuwa wapi bana?
Mbona huonekani bana?
Ulikuwa wapi bana?
Mteja kapatikana
Hakuna shida basi lete huo kwanja
Tumechelewa washkaji wanatungoja
Fanya haraka haraka mshkaji kama soja
Fanya haraka haraka mshkaji kama soja
Pili pili eeh, pili pili eeh
Pesa zote na simu niliwapatia
Nio mana sahihi zila niorapia
Bila hivo jela ninge ingia
Nilio baki nayo ni shilingi mia
Sudi eeh, sudi eeh
Ulikuwa wapi bana?
Mbona huonekani bana?
Ulikuwa wapi bana?
Mteja kapatikana
Siyo kupenda kwangu ni makarao bana
Sitaki kujua mimi
Nato hitaji nijue
Kuwa ulikuwa wapi bana
Mbona huonekani bana
Ulikuwa, ulikuwa, ulikuwa wapi
Mteja, mteja, mteja kapatikana
Mteja kapatikana
Wewe bana tuambie ulikuwa wapi bana mbona unatutanganya
Tumekaa tangu saa hizo mpaka saa hii buangalia time ni saa ngapi
We vipi eh pili pili mbona hivyo
Written by: Peter Gatonye Ngugi, Pili Pili
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...