Kredyty
PERFORMING ARTISTS
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rose Muhando
Songwriter
Tekst Utworu
Kweli ndani ya Yesu
Kuna raha ya ajabu
Kama vile upendo
Furaha na amani
Uvumulivu, utu wema na fadhili
Na maji baridi ni mazuri zaidi ya utukufu
Zaidi ya yote tumezawadiwa kuimba milele
Milele milele
Milele mile
Mile-e-e-e-e-ele
Jamani twendeni (kule)
Wamama twendeni (kule)
Kule kuna Soda (kule)
Nyumbani mwa baba (kule)
Kuna nyama choma (kule)
Mezani kwa baba (kule)
Hatuhisi baridi (kule)
Mzabibu wa kweli (kule)
Maji ya uzima (kule)
Tutaogelea (kule)
Tutakula matunda (kule)
Ya mti wa uzima (kule)
Uliopandwa kando (kule)
Ya mto wa uhai (kule)
Njia za thahabu (kule)
Malango ya lulu (kule)
Na Yesu mwenyewe (kule)
Atatupokea (kule)
Kijana wa dhamani (kule)
Akishatuona (kule)
Ataona raha-a-a-a-a-a-a-a-a
Raha tupu
(Ma ma ma) raha tupu (kwa Yesu) raha tupu
Sema kwa Yesu (raha tupu)
Hakuna kupima kule (raha tupu)
Hakuna kuonewa (raha tupu)
Hakuna kusemwa (raha tupu)
Wambea hakuna (raha tupu)
Hakuna hakuna (raha tupu)
Wachawi hakuna (raha tupu)
Ushirikina hakuna (raha tupu)
Nyumbani ni raha (raha tupu)
Nyumbani ni raha raha tupu)
Eh-h-h-h iyéh (raha tupu)
Euh-h-h uh-oh-h-h-h
Kweli ndani ya Yesu
Kuna raha ya ajabu
Kama vile upendo
Furaha na amani (uvumulivu)
Uvumulivu, utu wema na fadhili
Na maji baridi ni mazuri zaidi ya utukufu
Zaidi ya yote tumezawadiwa kuimba milele
Milele milele
Milele milele
Mile-e-e-e-e-e-e-e-le
Hey iye, hey iye, hey iye Yesu ni Bwana
Hey iye, hey iye, hey iye Yesu ni Mungu
Hey iye, hey iye, hey iye Yesu ni Bwana
Hey iye, hey iye, hey iye Yesu ni Mungu
Ye ye ye (Yesu ni Bwana)
Ma ma ma (Yesu ni Mungu)
Mwanaume wa wanaume (Yesu ni Bwana)
Bwana wa mabwana (Yesu ni Mungu)
Alpha na Omega (Yesu ni Bwana)
Mwanzo na mwisho (Yesu ni Mungu)
Hakuna mwingine (Yesu ni Bwana)
Mwanamme wa wa wanaume (Yesu ni Mungu)
Bwana wa mabwana (Yesu ni Bwana)
Mfalme wa wafalme (Yesu ni Mungu)
Waseme ndio (Yesu ni Bwana)
Waseme apana (Yesu ni Mungu)
Habadiliki (Yesu ni Bwana)
Ni yule (Yesu ni Mungu)
Milele milele (Yesu ni Bwana)
A ya ya ya (Yesu ni Mungu)
Ma ma ma (Yesu ni Bwana)
Hey, hey, hey iye-h-h-h-h (Yesu ni Bwana)
Yesu ni Mungu, Yesu ni Bwana
Yesu ni Mungu, Yesu ni Bwana
Iye-e-e-e-euh
Kweli ndani ya Yesu
Kuna raha ya ajabu
Kama vile upendo
Furaha na amani
Uvumulivu, utu wema na fadhili
Na maji baridi ni mazuri zaidi ya utukufu
Zaidi ya yote tumezawadiwa kuimba milele
Milele milele
Milele milele
Mile-e-e-e-e-ele
Ni nani atakaye nitenga na upendo wa Mungu wangu?
Atakaye nifanya mimi eti nimwache Mungu wangu?
Atakaye nitoa mikononi kwa mungu wangu
Ikiwa uchawi (hapana)
Uongo (hapana)
Mauti (hapana)
Dhuluma (hapana)
Au mademu(hapana)
Au mahandsome (hapana)
Hapana (hapana)
Hapana (hapana)
Hapana (hapana)
Sitaki (hapana)
Hapana (hapana)
Nasema hapana (hapana)
Jamani hapana (hapana)
Mwezangu hapana (hapana)
Nasema hapana (hapana)
Hapana (hapana)
Kweli ndani ya Yesu
Kuna raha ya ajabu
Kama vile upendo
Furaha na amani
Uvumulivu, utu wema na fadhili
Na maji baridi ni mazuri zaidi ya utukufu
Zaidi ya yote tumezawadiwa kuimba milele
Milele milele
Milele milele
Mile-e-e-e-e-e-e-le eh-eh euh
Writer(s): Rose Muhando
Lyrics powered by www.musixmatch.com