Teledysk

Kiu
Obejrzyj teledysk {trackName} autorstwa {artistName}

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Rehema Simfukwe
Rehema Simfukwe
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rehema Simfukwe
Rehema Simfukwe
Songwriter

Tekst Utworu

Nina Kiu nawe Sina mwingine Sina mwingine Nina njaa nawe Sina mwingine Sina mwingine Nina Kiu nawe Sina mwingine Sina mwingine Nina njaa na wewe Sina mwingine Sina mwingine (ooh) Nina Kiu nawe Sina mwingine Sina mwingine Nina njaa nawe Sina mwingine Sina mwingine Tone la damu yako Yesu ninalihitaji Bwana Linisafishe (eeh) Tone la damu yako Yesu ninalihitaji Liniinue (Nina Kiu nawe)Nina Kiu nawe Sina mwingine (Sina mwingine)Sina mwingine (Nina njaa)Nina njaa nawe Sina mwingine Sina mwingine Tone la damu yako Yesu ninalihitaji Linisafishe (ooh) Tone la damu yako Yesu ninalihitaji Liniinue (Nina Kiu nawe)Nina Kiu nawe Sina mwingine (Sina mwingine)Sina mwingine (Nina njaa ndani yangu)Nina njaa nawe Sina mwingine Sina mwingine Bwana Nijaze (Nijaze) (Tunaliamini jina lako tunaliamini uweza wako bwana) Bwana Nijaze (Nijaze) (Na nguvu zako bwana)Na nguvu zako Bwana Nijaze (Nijaze) (Tunaamini uweza wako)Nijaze (Tunaamini ukuu wako)Nijaze (Fadhili zako bwana)Nijaze (Uwezo wako bwana)Nijaze (Heei)Na nguvu zako Bwana Nijaze (Nijaze) (Nijaze) Nijaze (Nijaze) Nijaze (Nijaze) Nijaze (Nijaze) Nijaze (Ooh) Nijaze (Uuh) na nguvu zako Nina Kiu nawe Sina mwingine Sina mwingine Yeei
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out