Tekst Utworu

Eh tunamsifu Mungu Anatulinda Kila siku Upendo wake umetuzunguka siku zote Halleluyah Huku na huku eeh kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Kila ninapoimba kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Niwapo nimelala kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Na ninapo tembea tembea kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Hata nikiwa nakula kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Eh niwapo safarini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Nikiwa masomoni kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu Na kila tunalolifanya ambalo ni kwa ajili ya Utukufu wa jina lake tumezungukwa na upendo wake halleluyah Huku na huku na kule na hapo kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Anitegulia mitego ya muovu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Hata nikiwa pekee yangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Na nikiwa nyumbani kwangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Na nikiwa kazini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Huku na huku na huku kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Nikiwa hospitalini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Nimezungukwa na nguvu za Mungu kama Mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Huku na huku he kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Mawimbi mawimbi Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out