Tekst Utworu

Vijana baru baru na wewe Mmmh Japo ninapata kidogo ninalisha familia Vitu nimeweka kwa moyo haiwezi didimia Baridi unipiga kwa soko (mmh) angalau nipate mia Siku nitarudi kwa udongo hakuna deni nitawaachia Baba nibariki mimi nimshiriki bariki pia watu wangu Tusikose ridhiki tusichoshwe na dhiki MUNGU pitia kwangu Nyumbani tusiridi mikono mitupu waruu kukibeba tujazie kasuku Tuache Mayai tukule mamake kuku ipo sikuu Ipo siku (one day) Najua ipo siku mama (one day) Watatuombea mabaya lakini hatutafeli Ipo siku (one day) Najua Ipo siku ipo siku mama (one day) Watatuombea mabaya lakini hatutafeli Kiatu yangu ikinifinya naumiaga solo Kiraka labda tu kwa nguo sijivunji moyo Wananilenga kila siku nikiwaomba Mungu ndo malenga sheria yangu anaichora Tuko stanza one naishangi zile inanzanga shimo nimejitoa Watu wengi wazamanga Pesa ni down na sina fare ya kwenda pharmacy Umasikini homa wapi tambala ya makamasi Nimechelewa ndoa kuna watu nalea Za chama sijatoa nitatumaje fare Nadunga Sunday best ningoja blessing Shetani alinitest my performance was impressing Yes Lord unanipenda me tremendously ukibariki wengine Sometimes I get jealous Pole nilianza na mwili nitamaliza na roho Usimalizane na mimi ni mimi ama chedoo Nibariki... Ipo siku (one day) Najua ipo siku mama (one day) Watatuombea mabaya lakini hatutafeli Ipo siku najua(one day) Najua Ipo siku ipo siku (one day) Najua ipo siku mama (one day) watatuombea mabaya lakini hatutafeli Mungu baba when you remember me Ukinipa nyama nipe kachumbari Nisikufe moyo kuwa nami kwenye safari Mungu baba when you remember me Ukinipa nyama nipe kachumbari Nisikufe moyo kuwa nami kwenye safari Yes Lord unanipenda me tremendously Sometime i get jealous Pole nilianza na mwili nitamaliza na roho (Ipo siku ipo siku yoyoo yoo) Ipo siku (one day) Najua ipo siku mama (one day) Watatuombea mabaya lakini hatutafeli Ipo siku najua (one day) Najua ipo siku mama (one day) watatuombea mabaya lakini hatutafeli Hatuta feli Ipo siku Hatutafeli
Writer(s): Dennis Njoroge Wambui, Philip Munyao Mutuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out