Tekst Utworu

Yoo Say naitwa mali Ooh yaah Ehee My i eeh eeh Olalaeehee Alinipenda nikiwa tingo Kabla sijatowa singo Naungaunga mwana mtani Leo nime shinda Bingo Mastar wa TikTok Mmh kule wanatega mingo Na massage zaunasoma nahaki Namtungia na wimbo Alinionyesha true love Mpaka wayback Mpaka leo tunapeta Ezi hizo zaki checheidaeeh Mpaka leo tunatesa Alinionyesha true love Toka wayback Mpaka leo tuna peta Enzi hizo zaki cheicheidaeeh Mpaka leo tunatesa Nimi nabana aah mmh huu haa haa haa Moyo huna nipasuka hila Eeh unaenda resi yaii eeh Aah aah mmh huu haa haa Moyo una dunda dunda ma kama kitenesi Jama aayee eeh Mmmh Kweli nimepata demu yani wewe Uliniachisha mpaka ukiwembe Misigara mipombe Yani wewe Ulini tenganisha navi genge Ndomana mwezio niki kuonaeeh Moyo wangu Una nundapaa paa paaah Hamini nikikuona eeh Moyo wangu Huna pwitapaa Alinionyesha true love Toka wayback Mpaka leo tuna peta Enzi hizo zaki cheicheidaeeh Mpaka leo tunatesa Alinionyesha true love Toka wayback Mpaka leo tuna peta Enzi hizo zaki cheicheidaeeh Mpaka leo tunatesa Nimi nabana aah mmh huu haa haa haa Moyo huna nipasuka hila Eeh unaenda resi yaii eeh Aah aah mmh huu haa haa Moyo una dunda dunda ma kama kitenesi Jama aayee eeh
Writer(s): Batazari Romani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out