Tekst Utworu

Chunga watoto wako Tabia zako zimeshakuponza Mke na watoto wamekimbia Tulikukanya chunga heshima yako Mke na watoto wako nyumbani Ndio hazina ya maisha yako... Amigo, Amigo Wakati tunakupa ushauri weeh Uliona sisi watu fitina Twaingilia mambo yako ya ndani Na kwamba tukuache kama ulivyo Sababu wewe bingwa wa maisha... Amigo, Amigo Thamani ya mke ni mavazi Kula vizuri kulala vizuri Ndio siri ya kudumisha ndoa Mtaishi kwa raha amigo Watoto wako wapeleke shule Kwa manufaa yao ya baadaye Elimu ndio zawadi muhimu Kwa watoto wako, Amigo Badala yake mambo yote hayo Kwa mkeo imekuwa ni ndoto Maisha yake ya kubahatisha Na kazi unfanya, Amigo Mke amechoka mwisho kakimbia Umebaki kulaumu wenzio Lawama zako hazina msingi Bembeleza mkeo akurudie! Amigo, amigo Wewe nirafiki yetu Jirekebishe ishi na familia yako Amigo Be a resipossible man Thamani ya mke ni mavazi Kula vizuri kulala vizuri Ndio siri ya kudumisha ndoa Mtaishi kwa raha amigo Watoto wako wapeleke shule Kwa manufaa yao ya baadaye Elimu ndio zawadi muhimu Kwa watoto wako, Amigo Badala yake mambo yote hayo Kwa mkeo imekuwa ni ndoto Maisha yake ya kubahatisha Na kazi unafanya, Amigo Mke amechoka mwisho kakimbia Umebaki kulaumu mwenzio Lawama zako hazina msingi Bembeleza mkeo akurudie! Haya Amgio Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo Heshimu mke na watoto wako Heshimu baba na mama nyumbani Na wakwe zako uwape heshima Shemeji zako pia waheshimu Tukawa sisi wabaya kwako Shauri wetu hauna maana Tukwache kama ulivyo Amigo Sababu wewe ni bingwa wa maisha Mahari umeshalipa Amigo Mkeo huna habari naye Na leo yamekufika mambo Ubingwa wako na mke amekukimbia eeh Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo Heshimu mke na watoto wako Heshimu baba na mama nyumbani Na wakwe zako uwape heshima Shemeji zako pia waheshimu Tukawa sisi wabaya kwako Shauri wetu hauna maana Tukwache kama ulivyo Amigo Sababu wewe ni bingwa wa maisha Mahari umeshalipa Amigo Mkeo huna habari naye Na leo yamekufika mambo Ubingwa wako na mke amekukimbia eeh Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo Heshimu mke na watoto wako Heshimu baba na mama nyumbani Na wakwe zako uwape heshima Shemeji zako pia waheshimu Tukawa sisi wabaya kwako Shauri wetu hauna maana Tukwache kama ulivyo Amigo Sababu wewe ni bingwa wa maisha Mahari umeshalipa Amigo Mkeo huna habari naye Na leo yamekufika mambo Ubingwa wako na mke amekukimbia eeh Amigo, I say haya Twapitaaa Ooooh Amigo We mama aaah Amigo... Amigo Hayaaaa..., Amigo Les Wanyika iye leleee
Writer(s): Les Wanyika Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out