Tekst Utworu

(Dream big) Hey big man (eeeeh) Hauna vitu vingi man? (eeeeh) Na una move kama king man? (eeeeh) Na unang'ara bila bling Jina lina ring Big man tings Hey big man (eeeeh) Hauna vitu vingi man? (eeeeh) Na una move kama king man? (eeeeh) Na unang'ara bila bling Jina lina ring Big man tings Kabla ya TikTok, mie nina hit song nyingi Kama Kris Kross, ninaenda kama big boss Fiddy Huwa sijichoshi, wala siforce kingi Sina mikosi, mie ni king kong kama Chidy (Benz) Mtoto wa mjini kama disco Ninajiamaini mimi kabla ya mshiko Na hii style ni kama kipofu mwenye pistol Ni hatari akiikoki ujue ni kifo Wenye vijicho hawa kazi Hivyo maficho yako wazi Hapa nilipo mtu kazi hawafikii Watoto walito wanyamaze Niko na people ile shazi Hadi tip top mie mzazi kama Madee Wewe sio mshamba? You wanna chill with the big boys huuh Tafuta kwanza mkwanja, ili usiwaze kuhusu bill unapojienjoy Sina chuki ninaomba penye wazushi nisiwemo Nikikutusi, ujue nimeishiwa tu maneno Usiwe stupid, kumbuka hata sheria ni msumeno Ninawapa toothpicks watoto watoe maziwa kwenye meno Inawaconfuse kama lesbie mwenye upofu kwenye soko la sushi Huu ni moto hawagusi Kwa huu mchomoko hawanikuti Hey shorty, sigombanii mpira kama sina uhakika wa kupata goli Hey big man (eeeeh) Hauna vitu vingi man? (eeeeh) Na una move kama king man? (eeeeh) Na unang'ara bila bling Jina lina ring Big man tings Hey big man (eeeeh) Hauna vitu vingi man? (eeeeh) Na una move kama king man? (eeeeh) Na unang'ara bila bling Jina lina ring Big man tings Maisha kula msoto njaa kali sikushibana Ili kuishi ndoto zangu huwa silali mie hupigana Na ninavyoviota kuna mahustla wanavifanya Wanapata nilivyokosa nikaona kumbe inawezekana Sasa sasa kama tik tik boom ninalipuka Na sijali kama upo sitting room au ndani ya shuka Mie ni zaidi ya clique ya wagumu kwa huu mzuka Pisi unataka sisi tudumu? Nitoe kwa chupa Kiubishibishi kuishi haikatai au wewe umesanda? Maichi ichi ichi dumbayi anga banga Tanga tanga, kama mbwai mbwai Lambalamba chaichai Danga danga bye bye dada Mie ni big timer sichuji kama Mannie Fresh Siwakomelei kama Dayna hawa groupies hawanigusi nyeti Mke wangu anayajua mahesabu haitafuti thamani ya eksi Mungu wangu amejawa maajabu, hanitupi, hunifanyia wepesi Hey big man (eeeeh) Hauna vitu vingi man? (eeeeh) Na una move kama king man? (eeeeh) Na unang'ara bila bling Jina lina ring Big man tings Hey big man (eeeeh) Hauna vitu vingi man? (eeeeh) Na una move kama king man? (eeeeh) Na unang'ara bila bling Jina lina ring Big man tings Seh if you wanna fi stay number one fi long time Ya afi do big man tings Ah we a run di ground Booom
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out