Tekst Utworu

Njoo njoo njoo Njoo Kaka, Njoo Mama, Njoo Baba, njoo Sehemu nyingi umezungu, Kwa Yesu Sasa njoo Tatizo lako umezunguka nalo sanaa Sehemu nyingi umezunguka kwa Yesu sasa njoo, njoo mama Njoo ufanyiwe Maombi, njoo uombewee Njoo ufabyiwe maombezi Mama, Njoo ufanyiwe maombi, kwa jina la Yesu kristo, Njoo ufanyiwe maombezi Baba, Ukiombewa tatizo lako ni dogoo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Ukiombewa tatizo lako ni dogo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Njoo ufanyiwe maombi Njoo ufanyiwe maombezi Baba Nazunguka mitaanii, Natangaza Yesu ni Bwana, Kwa wagonjwa Mbali mbali Nawambia Yesu anaweza Na wewe unayenisikiaa Nasema Yesu nimemthibitisha Na wewe unayenisikia leoo Nasema Yesu ninauhakika naye Njoo ufanyiwe maombi Huu ndio ushauri wangu kwako Njoo ufanyiwe maombii Wenye tatizo kama lako wengi walishafunguliwa Njoo ufanyiwe maombi Huu ndio ushauri wangu kwako Ndugu yangu wewe Njoo ufanyiwe Maombi, njoo uombewee Njoo ufabyiwe maombezi Kaka Wengi wameombewa Njoo ufanyiwe maombi, kwa jina la Yesu kristo, Njoo ufanyiwe maombezi Dada, Usiteseke bure Ukiombewa tatizo lako ni dogoo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Ukiombewa tatizo lako ni dogo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Njoo ufanyiwe maombi Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu we Haleluya hee Yesu ni mwanaume Kati ya wanaume Yesu ni mwanaume eeh Hili tatizo la kupata Ajira Limekuwa Sugu kwako Vyeti unavyo na sifa za kupata kazi unazo Lakini roho ya kukataliwa inakusumbua Mfanya Biashara unayenisikia Huwezi kufanya chochote bila Mungu we Biashara yako ilete kwa Mungu Kwani yeye ni chanzo cha mafanikio Akuepushe na kina chuma ulete Biashara yako iwe na mafanikia Njoo ufanyiwe Maombi, Huu ndio ushauri wangu kwako, Njoo njoo njoo njoo mama Njoo ufanyiwe maombezi ndu yangu wee Njoo ufanyiwe maombi, Njoo uombewe Njoo ufanyiwe maombi Kwa jina la Yesu kristo, Njoo ufanyiwe maombezi Baba, Wengi wameombewa Ukiombewa tatizo lako ni dogoo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Ukiombewa tatizo lako ni dogo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Njoo ufanyiwe maombi Kwa jina la Yesu Njoo ufanyiwe maombezi Baba Mwilini mwako unahisi kuna vitu vinatembea Madaktari hawalioni tatizo Mwilini mwako unahisi kuna vitu vinatembea Madaktari hawalioni tatizo Tatizo hili linakuchangaya pole Waganga hawalioni tatizo hilo Tatizo hili linakuchangaya Mama pole Waganga hawaliwezi tatizo hilo Njoo ufanyiwe maombi Wenye tatizo kama lako wengi walishafunguliwa Njoo ufanyiwe Maombi, Huu ndio ushauri wangu kwako ndugu yangu we Njoo uombewee Njoo ufabyiwe maombezi Njoo uombewe Njoo ufanyiwe maombi kaka, Wengi wameombewa, Njoo ufanyiwe maombi Kwa jina la Yesu kristo, Njoo ufanyiwe maombezi dada, Usiteseke bure Ukiombewa tatizo lako ni dogoo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Ukiombewa tatizo lako ni dogo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Njoo ufanyiwe maombi Njoo uombewe Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu we Haleluya hee THE END
Writer(s): Boniphace Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out