Tekst Utworu

(Wine and kotch, gyal) (Wine and kotch) Cheki, cheki, ah Lete kinare, nikusetie ki fwaka Lete kinare, nikusetie ki ngwaka Lete kinare, nikusetie ki fwaka Na zitashika sana, utalia zimewaka Lete kinare, nikusetie ki fwaka Lete kinare, nikusetie ki ngwaka Lete kinare, nikusetie ki fwaka Na zitashika sana, utalia zimewaka Kinare, nikusetie ki fwaka Nipate 2010, venye kume waka waka Mabare, ukianza za ufala Na buda unashtuka mbaka una s-stammer Nani hapa akona lighter, joh? Mechi zangu nikama El Clasico Real Madrid ama Barca niizo, joh Mras na ki jaba, nimegeuka criminal Nipatee Rubis, si Erori ni liqour store? Sunda wada ndio zishike even more Leta kashata, stabilizer ndio hivo, joh Alafu hapo kando mnakohoa, aii nini, bro? Lete kinare, nikusetie ki fwaka Lete kinare, nikusetie ki ngwaka Leta kinare, nikusetie ki fwaka Na zikishika sana, utalia zimewaka Lete kinare, nikusetie ki fwaka Lete kinare, nikusetie ki ngwaka Leta kinare, nikusetie ki fwaka Na zitashika sana, utalia zimewaka Ah, Mtape-Mtapeli na bado Ah, wacha haraka Cheki ukikuja hapa, wewe ni takataka Yoh! Unabonga vile unataka Alafu ukicheka hapa, utagandwa Cheki masura zimebonda Alafu hakuna mwenye akona ego Na bado tumetoka huko Runda Cheki zimerunda, yoh Niko daily, kama ukedi Nafanya, warembo wote mtaani wana steady Waki steady, nawalaza kwenye bedi Kwenye bedi, nawapiga mijeledi Machali wao, nawapiga ma heady So sick in the-, nika skedy Meditation, nipate kwa pedi Already na steady, macho 'ready zimefedi Lete kinare, nikusetie ki wa- Lete kinare, nikusetie ki fwa- Lete kinare, nikusetie ki wa- Leta kinare, nikusetie ki fwaka Leta kinare, nikusetie ki ngwaka Leta kinare, nikusetie ki fwaka Na zitashika sana, utalia zimewaka Leta kinare, nikusetie ki wa- Leta kinare, nikusetie ki fwa- Leta kinare, nikusetie ki wa- Leta kinare, nikusetie ki fwa-
Writer(s): Jeremy Maina Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out