album cover
Umenipendea Nini?
album cover
Utwór Umenipendea Nini? został wydany 3 sierpnia 2023 przez Unique Tz jako część albumu Umenipendea Nini? - Single
3 sierpnia 2023
WytwórniaUnique Tz
JęzykEnglish
BPM74
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Wimbo#UMENIPENDEA NINI?
Intro.
Oooh oooh aaah aaah
aaah aaah
   
   Verse 1
Pesa Sina, elimu Sina,
Asa nikipikinafanya unipende
Hali yangu Kama,unavoona,
Bas nieleze kipi umeona wewe
Sinabajeti mfukoni vumbi unajua,
Utakula nn utavumilia nguna bamia,
Life la kibongo hawatoi michongo ya hela,
Bia utakunywa Ila sio kukupa hela,
Magetoni Sina feni Sina kitanda,
Ata godolo alinitunuku mchizi alo panga,
Ile ogopa matapeli ndomimi chibaba,
Nishawahi choropoka juu ya difenda nakaba.
Chorus 1
Umenipendea Nini?
aji aaah
Umenipendea
 Aaah mababy semaa
 Umenipendea Nini?
 Aji aji
 Umenipendea
 Mababy semaa
Verse 2
Hata nikisema mm nikuoe wewee,
Wazazi wako si watanichinja miee,
Nasikia baba mjeda mama naepolisiii,
Wajomba nyota tano wote wananafasiii,
Watakubari kweli Mimi nikumiliki
Inihali sisi kwetu maisha bado ni dhiki
 Early in the morning, early in the morning,
 Hatakukicha we nitazame usoni,
 Mbele sioni mbele Mimi sioni,
 Nyumbani kwetu sisi bado masikini.
 
Magetoni Sina feni Sina kitanda,
Ata godolo alinitunuku mchizi alo panga,
Ile ogopa matapeli ndomimi chibaba,
Nishawahi choropoka juu ya difenda nakaba.
Chorus 2
Umenipendea Nini?
aji aaah
Umenipendea
 Aaah mababy semaa
 Umenipendea Nini?
 Aji aji
 Umenipendea
 Mababy semaa
Written by: John John

Loading...