Teledysk

Mimi Mars - Pole Ft Nandy (Official Video)
Obejrzyj teledysk {trackName} autorstwa {artistName}

Dostępny w

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Mimi Mars
Mimi Mars
Performer
Marianne Mdee
Marianne Mdee
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marianne Mdee
Marianne Mdee
Songwriter

Tekst Utworu

Hivi ushasikia Mtu anaogeshwa na mdalasini Maana sio jina anataja mpaka ubini Tena akiumwa huwagaa hataki quinine Anachokitaka kuniona mimi Tena mkaka kwangu ndo kafall ooh Yaani mazima aah Kwangu hana shaka Kwako atakuja tomorrow Yaani kazima aah Nikuambie tu Mi ndo wakwanza Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha Nikuambie tu Mi ndo wakwanza Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha Nasema Pole Wacha nikupe Pole Mwenzangu Pole Wacha nikupe Pole Utanifanya nini kwanza kwa mfano We utajuaje tuko watano Hata kwangu mimi yaliyomo yamo (Ooh yalioyomo yamo) Nampa vya pwani vya kizaramo Tena usijaribu mashindano Huniwezi hata kimuonekano (aah muonekano) Sina noma Sina noma Nachotaka kukuambia sisi tushapendana Sina noma Sina noma yeah Nachotaka kukuambia sisi tushapendana Nikuambie tu Nishajipanga Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha Nikuambie tu Nishajipanga Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha Nasema Pole Wacha nikupe Pole Mwenzangu Pole Wacha nikupe Pole Translate to English
Writer(s): Marianne Namshali Mdee Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out