album cover
Bado
2
Dance
Utwór Bado został wydany 12 stycznia 2024 przez Bray Star jako część albumu Love Taste
album cover
Data wydania12 stycznia 2024
WytwórniaBray Star
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM109

Teledysk

Teledysk

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Bray Star
Bray Star
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bray Star
Bray Star
Songwriter

Tekst Utworu

Mmmh mmmh
Ni muda sasa tangu mi nawe tumejuana mbona sasa ukiniona hausogei
unanipa utata si nilisema nakupenda mpaka sasa jibu langu haunipi
kama meseji mbona natuma lakini hazijibiwi mmmh
kama ni simu mbona napiga lakini haupokei aah aaaah
ama ninywe nilewe nipunguze mawazo yanini mi nikonde ni haribu mipango
kama ni do salale ndo inafanya unyamaze niambie no nijue nikojoe nikalale maana mimi
bado bado bado nawaza bado bado bado kijana
bado bado bdao nataka bado bado bado kinyama
aaaaaaaah iaaaaah aaaah aiiiihhh
leo jibu langu unanipa umetaka ujataka lazima leo tuelewane
yani naondoka na wewe siondoki mwenyewe lazima leo tumalizane
ila sio vita chaguo ni lakwako mwenyewe
kama ukibisha sawa ila naomba unielewe
nasisitiza yani sitamani mwingine
kwingine giza kwako nimeona mwenyewe
naekupenda ni wewe ni wewe
njoo tucheze segere segere
nikuchumishe tembele tembele aaah aaaaah
ama ninywe nilewe nipunguze mawazo yanini mi nikonde ni haribu mipango
kama ni do salale ndo inafanya unyamaze niambie no nijue nikojoe nikalale maana mimi
bado bado bado nawaza bado bado bado kijana
bado bado bdao nataka bado bado bado kinyama
kinyamaaa aah kinyamaaa kinyamaaa aaah aaaah aaaah
Written by: Bray Star
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...