Teledysk

Zorah - Mshindi (Official Music Video)
Obejrzyj teledysk {trackName} autorstwa {artistName}

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Zorah
Zorah
Performer
DJ Kassu
DJ Kassu
Music Director
Kassumpa Adrian Machati
Kassumpa Adrian Machati
Performer
Hamad Said Mbaraka
Hamad Said Mbaraka
Performer
Rajabu Ally Rajabu
Rajabu Ally Rajabu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DJ Kassu
DJ Kassu
Arranger
Kassumpa Adrian Machati
Kassumpa Adrian Machati
Songwriter
Hamad Said Mbaraka
Hamad Said Mbaraka
Songwriter
Rajabu Ally Rajabu
Rajabu Ally Rajabu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
DJ Kassu
DJ Kassu
Producer

Tekst Utworu

Kassu Aah Aaaahh Mmhh Nimeshapoteza kila kitu kwenye maisha yangu Ila sio wewe Mungu Nishabadilishwa mpaka jina langu Nikaitwa mfu Kama sio wewe Mungu Najua nisingeweza simama nilipougua Ukaninyanyua Ukanifanya mpya (ah) Na Jua lilichoma mwili Ilinyesha mvua, nilipigwa baridi Ila naamini mapito ni nguzo Nayoona leo ni funzo Kwa leo yangu ama kesho yangu Kwa Mungu ni fumbo Ila naamini thamani yangu Naamini ipo kesho kwangu Ila naamini (mmhh) Mimi ni Mshindi Mimi ni msingi naomba nipiganie Baba Maneno vita ni mengi, nimeshapigwa sana Ila kwa Mungu mi mshindi Na hili litapita sasa Kwako naona dhahiri utaniongoza Nilishakatishwa tamaa nikavunjishwa moyo Nisifikie malengo Imani na busara wachache wenye upendo Walinipa moyo Huzuni nashika tama ni unyonge Wananiombea mabaya nife nijinyonge Ila mpaka sasa mi ni mshindi (mimi ni mshindi) Mpaka sasa (aahh) naona ushindi (naona ushindi) Ila mpaka sasa (mmhh) mi ni mshindi (mimi ni mshindi) Mpaka sasa (aaahh) naona ushindi (naona ushindi) Ila naamini mapito ni nguzo Nayoona leo ni funzo Kwa leo yangu ama kesho yangu Kwa Mungu ni fumbo Ila naamini thamani yangu Naamini ipo kesho kwangu Ila naamini (mmhh) Mimi ni Mshindi Mimi ni msingi naomba nipiganie Baba (Oh nipiganie) Maneno vita ni mengi (Oohh) Nimeshapigwa sana (nimeshapigwa sana) Ila kwa Mungu Mi mshindi (Mimi ni Mshindi) Na hili litapita sasa (litapita na hili) Kwako naona (kwako naona) Dhahiri utaniongoza Utaniongoza Utaniongoza Utaniongoza baba Kassu
Writer(s): Dj Kassu, Hamad Said Mbaraka, Kassumpa Adrian Machati, Rajabu Ally Rajabu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out