Teledysk

Teledysk

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Tgun Tozzy
Tgun Tozzy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tgun Tozzy
Tgun Tozzy
Songwriter

Tekst Utworu

iliko toka nilisha vuka vigingi mixer kuonekanapimbi, So ukiniona mjini bado nipo sema waaooooh,
Nilianza Rap chini kwa chini kukaza skul na dingi,
mwisho wa siku ahed Mwanangu goo,
Na Beat lina kiki Kivumbi utasema Basi,
Na flow zangu chapati leta marage nazi,
Sijazoea shida japo natokea uswazi,
Sasa leta za kuleta nazitupa sizi taki,
Ifike wakati, heshima yangu iwepo maana sio simple,
Kutoka huko niliko kua kwa hapa nilipo,
Mi Namshukuru sana Mungu pia na mapeople,
Wao ndio wanafanya mambo magumu yanakua simple,
Mi nafanya tu sijali kamkikompare,
Hata viatu siku zote vinakaa paer,
Nimepitishwa na shabiki so na play fair,
Wengine wako radhi kabisa hata kuniombea, Ameen.
Wewe unae kesha kuroga Muda unaupoteza,
Ogopa matapeli mjini waganga wa pweza,
Utatekwa na Colour blind hicho kifimbo cheza,
Nimeanza Rap toka Tumboni kwa Mama Papa Wemba,
Sasa Basi Muda wakati wakunigusa ndio hunipati,
NaToka church siendi part Busy nawaza maganji,
Kula pisi ndio siwazi siri zangu nimepaki,
Utamu nilionao bei juu ofa zenu ni maji,
Kama uliwaza kunigusa sasa sishikiki,
Sahizi nimepanda bei na kwanza mbichi,
Unanafasi moja tu kwenye kichwa hiki,
Uchagua kunipenda au ubakie tu kuwa snitch,
Naukisema haunipendi unanichukia mimi,
ukiulizwa haujui hata ni kwa nini,
Naukirudi huko iliko nyumba yenu nyinyi nyinyi,
Dada zako woote wanatamani tu Kuzini na mimi,
Wa kaya wee ungati frampeni,
Uku act ungati utamanyile chino nkuomba nemwi,
Uli niroho mbaya weee ukuifisa nyenyi,
Hata Tag ya insta tu ulishindwa kuimension,
Nakuibia siri,
Sahizi niko mjini,
Story zangu zimefika mpaka huko mbiguni,
Nimepokea muujiza mpya ilikua majuzi,
Malaika wameniona na bunduki naliteka jiji,
Haya sasa tarifa (Kuhusu Rap mini mbaya)
mkitaka kuni vaa siwafit nawapwaya,
Chorus ka siasa kwenye beat ka nakaya,
Naflow zangu moto deshdesh bila iiiiiiissssss
Nilikotoka sio hapa men ni root ndefu,
Kisimple simple mi nikate Tamaa mh chefu,
Nakanyaga tu mi sina muda cheki kwenye saa,
Na simamia ukucha hata nikiwa nimekaa,
Ninacho amini issue ni kwamba,
Mungu yuko na mimi kwa sasa,
Kukata tamaa pepo la giza mbona kwangu hilo lilisha kwama,
Iyee thatawe
Haya sasa Click, Hapo nipe kicki na Snea tu,
Kich na snea tu,
Mmh safi Safi mmh safiiiii mh
Written by: Tgun Tozzy
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...