album cover
Lini
5714
Afro-Beat
Utwór Lini został wydany 12 kwietnia 2024 przez The Magical Touch jako część albumu Lini - Single
album cover
Data wydania12 kwietnia 2024
WytwórniaThe Magical Touch
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM89

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

Baby Aaah
Niko serious
Kwako si fake wala si act
Niko serious
Baby aah
Au mapenzi basi
Niinusuru nafsi yeah
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujaali Eeee Eeee
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Sawa nikuvumilie eeh
Ndoa za watu nihudhurie eeh
Bado wajipanga ni kazi bure
Unapiga magoti
Hunivishi pete
Wala hu propose yeah
Ama ka moyo kangu kupe
Kana ng'ang'ana
kupenda nisikopendwa
sa nawaza baadae ubadirikee
Usi fadhirike woh uuh
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
I remember you told me
Am your one and only
Toka nyakati zile
Pete haijawahi ona kidole
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Written by: Ibrahim Jafari Mzonge
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...