Kredyty
PERFORMING ARTISTS
Lafrik
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ali Suleiman Juma Gongah
Songwriter
Brandon Israel
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Erick Njenga
Producer
Tekst Utworu
UKO WAPI
Kumbuka Mpenzi Wanugu tuliapa eh
Tutatenganishwa na kifo Pekee
Niliamini unaenda utarudi
Mwezi mmoja sasa imekua mwaka
Ah ah ah
Kwani hurudi my love
Ninalialia eh nikutafute wapi
Mbona hurudi mpenzi
Ipi ndio njia eh nikutafute wapi
Uko wapi eh, uko wapi eh
Uko wapi eh , nikutafute wapi?
Uko wapi eh, uko wapi eh
Uko wapi? Nimeshindwa kukupata
Nani akuzuzua, mbona hurudi
Basi rudi tuonge, usiende M.I.A
Ugomvi kati ya wapendanao, hayo ndio mapenzi
Usichoke my love
Kwani hurudi my love,
Ninalialia eh nikutafute wapi?
Mbona hurudi mpenzi,
Ninalialia eh nikutafute wapi?
Uko wapi eh, uko wapi eh
Uko wapi eh , nikutafute wapi
Uko wapi eh, uko wapi eh
Uko wapi? Nimeshindwa kukupata
Written by: Lafrik