Teledysk
Teledysk
Kredyty
PERFORMING ARTISTS
Zion Njeri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zion Njeri
Songwriter
Tekst Utworu
[Verse 1]
Siamini ni mimi nilomba nimejibiwa
Siamini ni mimi nilongoja nimefikiwa
Siamini ni mimi nilomba nimejibiwa
Siamini ni mimi nilongoja nimefikiwa
[PreChorus]
Kujeni muone, muone, muone eehh
Kujeni muone alivyonitendea
Kujeni muone (Muone) moune (Muone) muone
Kujeni muone alivyonitendea
[Chorus]
Amenijibu, amenijibu
Maombi yangu nilomba amenijibu
Amenijibu, amenijibu
Maombi yangu nilomba amenijibu
[Verse 2]
Hivi unakajua kale kafeeling kakujibiwa maombi
Naona raha, naona raha
Hivi unaijua ile kelele ya shangwe ukijibiwa aah
Imagine vile umesota alafu Mungu anatokea
[Verse 3]
I can't believe you have done it again
I've come to testify Lord you've done it again
I give you praise Lord you've done it again
Again and again and again you've done it again
[PreChorus]
Kujeni muone, muone, muone eehh
Kujeni muone alivyonitendea
Kujeni muone, muone, muone
Kujeni muone alivyonitendea
[Chorus]
Amenijibu, amenijibu
Maombi yangu nilomba amenijibu
Amenijibu, amenijibu
Maombi yangu nilomba amenijibu
Written by: Zion Njeri


