album cover
Shetani
854
Worldwide
Utwór Shetani został wydany 19 lipca 2024 przez The Musiq Market jako część albumu Shetani - Single
album cover
Data wydania19 lipca 2024
WytwórniaThe Musiq Market
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM113

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Zee Cute
Zee Cute
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zaina Haji Mchombora
Zaina Haji Mchombora
Songwriter
Mabrouck Lila
Mabrouck Lila
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lila Dawa
Lila Dawa
Producer

Tekst Utworu

Mmh eh nachanganyikiwa
Ooh oh navurugika akili
Nachanganyikiwa Eh
Ooh
Eti nani nani na nani
Anamjua mwanga (nani nani na nani anamjua mwanga)
Kwan ana rangi gani uyo
anamjua mwaanga (nani nani na nani anamjua mwanga)
Nauliza nani nani na nani?
 anamjua mwanga (nani nani na nani anamjua mwanga)
Anafitinisha watu uyo
unamjua mwanga we (nani nani na nani anamjua mwanga)
Ana haribu michongo ah
ananifunza uongo
nipo dar lakin nawambia nipo congo
tajiri kanipigia et namjibu fyongo
Sio akili zangu (ni mapepo pepo tu)
Sio akili zaaaangu (ni mapepo pepo tu
Shetaani tooka (shetani toka hapa)
Shetani kimbiaaa (shetani tokapa)
Ukinifata fata ntakupa gumi la shingo
Ukinifata ntakupa gumi la roho
Toka toka toka
Toka toka toka
Eti nani nani na nani
Anamjua mwanga (nani nani na nani anamjua mwanga)
Kwan ana rangi gani uyo
anamjua mwaanga (nani nani na nani anamjua mwanga)
Jana nimepika nyama kadokoa
Chungu cha ugali jikoni kaopoaa
Nimeweka simu yangu chaaji kachomoa
Nimembamba mimacho kadokoa uyooo
Shetaani tooka (shetani toka hapa)
Shetani kimbiaaa (shetani tokapa)
Ukinifata fata ntakupa gumi la shingo
Ukinifata ntakupa gumi la roho
Toka toka toka
Toka toka toka
Written by: Mabrouck Lila, Zaina Haji Mchombora
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...