album cover
Kasongo
album cover
Utwór Kasongo został wydany 1 marca 2025 przez Independent jako część albumu Kasongo - Single
1 marca 2025
WytwórniaIndependent
BPM
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

Kasongoo Amelemewa
Kachukua shoti ya nane na kashazima
Na ni leo anaona giza
Kamuendea manzi ya mtu ka asha lewa
Anaona dust eyyeyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy eyy
Party party si tuko party na dance na mumama..
Ka ni kazi si tulimada ma time za mchana ...
We kam na mkambaNitamwitisha namba...
Akininyima nawacha Huyo wako nataka
Kasongoo Amelemewa
Kachukua shoti ya nane na kashazima
Na ni leo anaona giza
Kamuendea manzi ya mtu ka asha lewa
Anaona dust eyyeyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy eyy'
Nimechoka kujifanya nataka tu huyo wako ...
Mi ni mjaka nikilewa ntaongea na ngoso..
Tuko hapa na waziza wanamedi kuniliko .
Saka pesa ndio ulewe
Usilewe ka huna do .
Usilewe ka huna do ooh
Kasongoo Amelemewa
Kachukua shoti ya nane na kashazima
Na ni leo anaona giza
Kamuendea manzi ya mtu ka asha lewa
Anaona dust eyyeyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy
Anaona dust Eyy eyy eyy eyy
Party day
Nitaka zinibebe mapema
Najua ni wikendi.
Party day
Nitaka zinibebe mapema
Najua ni wikendi.
Aah
Written by: Auline Paul
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...