album cover
Penzi
album cover
Utwór Penzi został wydany 30 kwietnia 2025 przez Digitone Music group jako część albumu Penzi - Single
30 kwietnia 2025
WytwórniaDigitone Music group
JęzykEnglish
BPM85
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Sofesh is on the beat
walinicheka hawakuniamini
penziletu ingenue Hadith
lakini sasa tukojuu ya klima
na Sauti mako ni sala moyoni
Tulianza kama utani
(eye Jay run this )
Verse 1:
Wewe kuniita na majina ya mapenzi Walisikudhani tungeweza fika hapa
Na saizi sitamani uwe mbali, bila we siwezi
Ooh my darling, nashukuru nimekupata
I\'ve been searching, looking for something extraordinary Now I found you, perfect in every way
Na sikuachi, sheri baby, don\'t you worry, asee ni wewe
Chorus:
Na ka penzi pombe, nipe mi ninywe Mpaka nilewe, eh eh
Jaza kikombe, nataka nilewe Nataka nilewe, oh nilewe
Verse 2:
Nahisi nikama napepea
Niko juu angani kwani ni nini umenipea Can you feel the love in the air?
Kuna sehemu flani umenigusaI wanna be, I wanna be yours I\'m addicted, cannabis
Are you feeling the way I feel? Ukinigusa then I\'m healed
Far away, far, far away baby Baby, kila mahali nitapaa nawe
Chorus
Na ka penzi pombe, nipe mi ninywe Mpaka nilewe, eh eh
Jaza kikombe, nataka nilewe Nataka nilewe, oh nilewe
walinicheka hawakuniamini
penziletu ingenue Hadith
lakini sasa tukojuu ya klima
na Sauti mako ni sala moyoni
Written by: Arnold Aggrey, jibril blessing
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...