album cover

Real

44Hip-Hop/Rap2025
album cover
Utwór Real został wydany 27 czerwca 2025 przez Lil dwin jako część albumu Mtaani so Cold
Data wydania27 czerwca 2025
WytwórniaLil dwin
BPM
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

Kama kawaida kesho alishapagwaga jana
Nashukuru sikufuru bado ng\'ang\'ana
Washazingua wala hatutupi lawama
Kanyaga nakanya ngoma ingepita hata ka wangebana
Okay ****** ama ********
Story tu wana wapi nikipijipata minakwama
If n**** want beef sijala toka jana
Nazibeba nahama nishasemaga hazitupwi lawama
Nishakamua nishawekwaga na wanao kichachafua
Nishajujua kwamba wote wapambanaji piga dua
Hazitakati japo kutwa wanafua
Sema jua muda mwingi hata macho hayaioni pua afu
Hata mwanzo vya nje vilikuwa ndani
Tupo mtaani na kitabu kilipigwa kama utani
Sema michongo hakuna ishu ni nani anamjua nani
Gat get the money
Ndo maana kutwa niko shambani
Si wanataka tu tuongeage kuhusu bata
Kuhusu bebe
Kuhusu Kaki
Kuhusu kati daily zinapigiwaga debe
Huku maisha mtaani jiwe
Leta bati ipigwe zege
Who tryna throw shots studio nimejaza tu mijegeje
Si wanataka tu tuongeage kuhusu bata
Kuhusu bebe
Kuhusu Kaki
Kuhusu kati daily zinapigiwaga debe
Huku maisha mtaani jiwe
Leta bati ipigwe zege
Who tryna throw shots
Its the same kid back at school with four figures
Now i wanna get to see my hand touch more figures
Look your chick thats another guy\'s gold digger
Once they realise you better they Grow bitter
Sema mtaani bado hustle ni kibao
Naweza kuongea kuhusu wao
Sema nashtua tu wana oya mida ni kikao
Vipi tutakula nao na yupi atakula mbao
Tuskike hadi makwao
Oya sio poa mwanangu
Nashtua wanangu
Naongea na mamaangu
Ananambia anaombea na wanangu
Anatania am growing up lini atamuona mwanangu
Namwambia mamaangu
Am sonnin rappers wote tu wanangu
Akiuliza nimelala hizo kelele za jirani
Hajui hadi usiku mishe niko vitani
Got to the money ndomaana nyuti sibishane nanyi
Nani anakazia
Nani anapatia
Nani mlango hivi flani si ukuta nani pazia
Nanianajulia
Nani anatulia
nawaambia nina swali moja nani Tanzania
Written by: Godwin Peter Lerowi

Stopka Shazam

Wybierz język:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Obserwuj nas

Loading...