album cover
Voice Note
318
Afro-Pop
Utwór Voice Note został wydany 23 października 2025 przez IMUH jako część albumu Voice Note - Single
album cover
Data wydania23 października 2025
WytwórniaIMUH
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM139

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Performer
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Piano
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Baga Beats
Baga Beats
Producer

Tekst Utworu

Onana nana nana e
Imuh
Alikuja geto toka mchana
Akatoa kitu wali nyama
Tukala kwa kulishana
(Mi na yee mmmh)
Muda ukaenda sana
Si unajua usiku tena
Penzi akanipa bwana nijiseviee mmmh
Baada ya kazi nzitoo
Akazungumza akitabasam
Kucheat ndo mzomzo
Atafute nini na mkata hamu
Akageukaaa akashika simu yake
Akatoa passcord nikakalili namba zake
Akatuma meseji kwa shoga ake
Vipi BFF umelala
Meseji ikachelewa kujibiwa a
Usingizi ukampitia
Meseji ilipo ingia a simu yake nikaichukua
Nilichokiona(roho ,roho inauma)
Roho inaumaa (roho,roho inauma)
Nikafungua meseji za shoga yake
Nivuta juu nionee
Kati ya meseji zake
Wanaongelea mwanamme mwengine
Kwa kuwa kwenye chati walimtaja jina
Nikaenda kumsachi bahati nikamuona
Nikakuta meseji zake nikazisoma majanga eeh
Meseji za mahaba mahaba
Makopa yamejazana
Ila yote tisa kumi voice nilioiyona
(Aaaah babe unajua tangu nikutane na wewe nimegundua huyu mtu wangu hajui chochote yani kwasababu wewe ndo unaenijulia,wewe ndo unaeniwezea Alafu kinacho nikosha zaidi wewe unapiga miguu yote yani kushoto na kulia aaah ivi ulikua wapi mda wote nimechelewa kupata hizi raha jamani wee kaka jamani utaniuwa)
  
     (Roho roho inauma)
Sijui nimfanye nini(roho roho ,inauma)
 Aaaaah (roho, roho inauma)
Issa yambataa
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...