album cover
Wazee
532
Afro-Pop
Utwór Wazee został wydany 28 listopada 2025 przez Vintage Music Group jako część albumu Wazee - Single
album cover
Data wydania28 listopada 2025
WytwórniaVintage Music Group
JęzykEnglish
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM122

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

WAZEE
Eti Muziki hakuna sikuhizi muziki ulikuaga zamani
Wakisasa unapotosha
Kubandika kope mawigi kwamba vyote walifanya ujanani
Hapo jama wanaongopa
Eti hakuna jipya chini ya jua wanauhakika kweli walitumiaga insta?
Eti watu wa sasa hawapendani,mbona wao ndo walianzishaga vita?
Ilikua ngumu kutongoza mpaka kuoana
Sie vijana tunakonyeza tunaelewana
Ooooh wazee wanastori nyingi sana wazee
Oooh wazee wanasumbua vijana jama wazee
Barua yenyewe zilitumwa kwa mguu
Kaandika mjomba anasoma mjukuu
Vijana wa sasa ndo tunaishi nafuu
Video call unaniona utandawazi ndio huu
Kila mzee alikuaga wa kwanza darasani
Sijui wa mwisho alikua ni babu yake nani
Mitindo ya kuvaa wanasema ni kutoka zamani
Mkanda juu ya tumbo sasa huo ndo uvaaji gani
Ilikua ngumu kutongoza mpaka kuoana
Sie vijana tunakonyeza tunaelewana
Ooooh wazee wanastori nyingi sana wazee
Oooh wazee wanasumbua vijana jama wazee
Written by: ALISTIDES HERMAN
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...