album cover
Dunia
album cover
Utwór Dunia został wydany 13 lutego 2026 przez Abdul Ramadhan Kamota jako część albumu Dunia - Single
13 lutego 2026
WytwórniaAbdul Ramadhan Kamota
JęzykEnglish
BPM184
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Aaah aaah yeah
Aah Aah Midee
Dunia dunia dunia,dunia dunia dunia
Ooh dunia dunia dunia ooh mama dunia
Dunia dunia dunia
Dunia tambala bovu
Simama nishuke
Moyo wote una makovu
Nani aje aniponye
Na kwenye habari za pesa ndo kabisa
Nishauza mpaka roho
Nishasalitiwa mpaka na ndugu na Narafiki kibao
Ooh dunia
Nilisikiaga dunia
Inaumiza dunia
Leo nimejionea
Nimuamini nani
Nimpende yupi
Nimuamini nani
Nimpende yupi
Ah dunia dunia dunia dunia
Dunia dunia dunia dunia
Dunia dunia dunia dunia
Dunia dunia dunia dunia
Ukiwa nacho watakuja hutokosa marafiki
Hutojua nani mkweli nani mnafiki
Sio kila mtu anapenda kuona we unapata ridhiki
Wanaomba dua urudi kwenye dhiki dunia
Aah dunia
Nilisikiaga dunia
Inaumiza dunia
Leo nimejionea
Nimuamini nani
Nimpende yupi
Nimuamini nani
Nimpende yupi
Ahh dunia dunia dunia dunia
Kam sote tunapita
Dunia dunia dunia dunia
Hapa sio kwetu hakuna alifika
Dunia dunia dunia dunia
Dunia dunia dunia dunia
Dunia dunia dunia dunia
Aaah aah mama dunia
Dunia dunia dunia dunia
Mi mwenzako inanichosha dunia
Dunia dunia
Dunia dunia dunia aah
Written by: Abdul Kamota
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...