album cover
Opening Prayer
album cover
Utwór Opening Prayer został wydany 6 marca 2026 przez Billy Black jako część albumu Genge Soul
6 marca 2026
WytwórniaBilly Black
JęzykEnglish
BPM
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Nimekuwa nikiwaza Jo
Sometimes
Dreaming with no pesa in my pocket somehow
Believing nikiendelea mbele
Lazima Nitakuwa Okay
All I ask is you be proud of me
Kuja nikushow
Kuja cheza nami
Hata Kama ni leo tumekosa
Najua tutakula okay
Samahani kwa
Aisha Anita
Simu unapiga mi nakosa kushika
Nikiamka Mimi dream nakimbisha
Ndio nifike okay
Tulianza na streets
Sasa show tunapiga
Mistari kwa wingi
Zinskika kwa speaker
Ukitaka katika
mafans wanaskika
tutakuwa okay
Mama Niko tu okay
Mama Niko tu fine
Nakutana na worries moyoni Njiani
Bado Mama natry
All I’m trying is to make mummy feel proud of me
Written by: Billy Black

Loading...