Tekst Utworu

Mengi mingi mingi munayosema wenzangu Mengi mingi mingi munayotaka jamani Kwangu mimi siyawezi Hata kwangu siyataki Vile vile kama ninavyoona Hivi ni vitendo vya ujana Musiwadhulumu Kwani ni haki zao
Writer(s): Maryam Hamyar Suleiman, Maurice F. Fulton Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out