album cover
Embargo
5436
Worldwide
Utwór Embargo został wydany 1 stycznia 1998 przez Mondo Melodia jako część albumu Ya...
album cover
AlbumYa...
Data wydania1 stycznia 1998
WytwórniaMondo Melodia
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM87

Kredyty

Tekst Utworu

Leo nasaili
Ju mimi sikuelewa mambo yale
Unasema embargo
Ni njiya ya kuleta amani kwangu
Kwa vile naona
Ni watu wanahangayika bure
Unisamehe sana
Ju mimi sione uzuri wake
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Inci inazimiya
Inakosa dawa na cakula
Ni amani gani
Inaleta njala na maladi
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Written by: Khadja Nin, Nicolas Fiszman
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...