album cover
Tulia
267
Christian & Gospel
Utwór Tulia został wydany 2 lipca 2012 przez Reuben Kigame jako część albumu Tulia
album cover
AlbumTulia
Data wydania2 lipca 2012
WytwórniaReuben Kigame
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM66

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Reuben Kigame
Reuben Kigame
Performer
Sifa Voices
Sifa Voices
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Reuben Kigame
Reuben Kigame
Songwriter
Sifa Voices
Sifa Voices
Songwriter

Tekst Utworu

Tulia kaka tulia dada, vita ni vyake Bwana
Hata dhoruba ivume sana, vita ni vyake Bwana
Inua macho yako, umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi majeshi ya adui zako
Tulia, tulia, tulia sasa, sichukue hatua nyingine
Sikiza sauti ya Mungu wako, akuwazia mema
Inua macho yako, umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi majeshi ya adui zako
Usiogope, usitikiswe, usitazame kando
Weka imani kwa Mungu wako, vita ni vyake Bwana leo
Inua macho yako, umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi majeshi ya adui zako
Inua macho yako, umtazame Mwokozi
Wale walio nawe wanazidi majeshi ya adui zako
Written by: Reuben Kigame, Sifa Voices
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...