album cover
Furaha
album cover
Utwór Furaha został wydany 16 maja 2026 przez WEENTERTAINMENT/ TRUTH RECORDS jako część albumu YAKSZN: the rock of TRUT
Data wydania16 maja 2026
WytwórniaWEENTERTAINMENT/ TRUTH RECORDS
BPM114
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

Mi napata hio furaha
Mi napata hio furaha
Na wewe
Mi napata hio furahaa
Aisee
Mi napata hio furaha
Kujuana na wewe
Nyota njema huonekana asubuhi
Inanipata mi furaha hatakama haujui
Sometimes, nikiwaza nilipo toka na hivi sasa
Inabidii usukuru na usali kwa sana
Mitihani sio swala wala hali
Ila bali ya mahali ya kuweza kujifunza
Ilichobaki kujituma
Sio Asha, Fatuma
Utakuja Vuruga
Sometimes, tunasema vitu
Bila kumanisha
Like Astela Vista
But, God has a way of telling us
What is Good and what is wrong
You gatta do Right and just move on
It's not the end of times
Just live your life
And then you'll know
That!
Mi napata hio furaha
Mi napata hio furaha
Kujuana na wewe
Mi napata hio furahaa
Aisee
Mi napata hio furaha
Kujuana na wewe
Wewe!
Circumstance zina happen
No lie about it
Anha!
Ninaweza kuwa hopeless
But am still be shining
Anha!
So what now
You finally trynna change the climate
Anha!
No way amma fight it
One day at a timing
Anha!
Finishing up my assignments
Hio life ya mtaani
Anha!
Just grinding and grinding
Who knows about it
Who do you call?
When u need a friend
Besides from you Mom
Besides from your Bros
It all depends, it all depends
On who you gat and who you don't
Mi napata hio furaha
Mi napata hio furaha
Kujuana na wewe
Mi napata hio furahaa
Aisee
Mi napata hio furaha
Kujuana na wewe
Mi napata hio furaha
Mi napata hio furaha
Na wewe
Mi napata hio furahaa
Aisee
Mi napata hio furaha
Kujuana na wewe
Kujuana na wewe
Kujuana na wewe
Ku-ku-juana na wewe
Ku-ku-juana na wewe
Ku-ku-ku-ku-ku
Ku-ku-ku-ku-ku
Ku-kujuana na wewe
Ku-ku-ku-ku
Ku-ku-ku-ku-ku
Ku-kujuana na wewe
Mitihani sio swala wala hali
Ila bali ya mahali ya kuweza kujifunza
Ilichobaki kujituma
Sio Asha, Fatuma
Utakuja vuruga
Utakuja vuruga
Written by: Eugene Mgonya

Loading...