album cover
Ex
album cover
Utwór Ex został wydany 31 lipca 2026 przez Sanja Kong jako część albumu Ex - Single
31 lipca 2026
WytwórniaSanja Kong
JęzykEnglish
BPM84
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

Nashukuru nimekupata
Umenijia wakati sahihi
Apo mwanzo nilikua
Sina ata maana aah
Sikua na nuru ka nimedata
Sina lile sina hili
Tena akiniambia
Huku akintukana aah
Umeniokoa kwenye dimbwi zito
Yule alikua ananiua
Kwenye matambiko
Sasa napumua
Kwa kunipa pumziko
Kule nilikua najisumbua
Kwenye gagaziko
Tupendane sana
Ex tumuweke roho juu
Mpaka dunia itambue
Me nakupenda wewe tu
Tupendane sana
Ex tumuweke roho juu
Mpaka dunia itambue
Me nakupenda wewe tu
Aah Ona mbona unapenda kujiamulia mambo
Mtu gani unanifanya nionekane bambo
Nakuchekesha daily
Ukiomba unapewa tango
Sina haja ya kukuficha
Naiunua mabango
Ata jela kuna watu wazuri
Nifungie maana hata me sio mtu mzuri
Kuna vitu vikikosa kufuri
Kujizuia ngumu sana
Jiulize vizuri wodap
Tupendane sana Ex tumuweke roho juu
Mpka dunia itambue me nakupenda wewe tu
Tupendane sana Ex tumuweke roho juu
Mpka dunia itambue me nakupenda wewe
Tupendane sana Ex tumuweke roho juu
Mpka dunia itambue me nakupenda wewe tu
Tupendane sana Ex tumuweke roho juu
Mpka dunia itambue me nakupenda wewe tu
Written by: Licky Tones, Sanja Kong
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...