album cover
Twende
album cover
Utwór Twende został wydany 13 sierpnia 2026 przez NuelHenry jako część albumu Twende - Single
Data wydania13 sierpnia 2026
WytwórniaNuelHenry
BPM103
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Oooh oooh
Alikuja akiwa amelewa
Akaniambia brother unazingua
Nikamuuliza nimefanya nini?
Akaanza kunung'unika
Akanichana kwa maneno haya
Nikaona hukumu
Huuuu
Nilianza pombe haukuniambia
Nikavuta bangi haukunionya
Nikafanya zinaa haukunishauri
Nimeharibikiwa hukunionesha njiaa uuh
Hukunisaidia
Ni kweli labda neno langu lingemfanya
Aelewe ninini anakifanya
Hazina ya maarifa yangu haijamfaa
Agizo la Mungu Mimi sijalifanya
Anasema
Nilianza pombe haukuniambia
Nikavuta bangi haukunionya
Nikafanya zinaa haukunishauri
Nimeharibikiwa hukunionesha njiaa oouwoo oouwooo
Hukunisaidia
Mzima haitaji tiba bali mgonjwa
Tutoke twende tukafanyike dawa kwa dunia
Nasi kwa maneno tuhubiri kwa matendo
Watendakazi wachache mavuno Badoo
Hiii hiiiii
Twende twende
Tukaeleze
Tukawaambie
Tukaeleze habari njema
Twende twende
Tukaeleze
Tukawaambie
Tukaeleze habari njema
Ni kweli labda neno langu lingemfanya
Aelewe ninini anakifanya
Hazina ya maarifa yangu haijamfaa
Agizo la Mungu Mimi sijalifanya
Anasema
Nilianza pombe haukuniambia
Nikavuta bangi haukunionya
Nikafanya zinaa haukunishauri
Nimeharibikiwa hukunionesha njiaa oouwoo oouwooo
Hukunisaidia
Written by: Emmanuel Nyalusi

Loading...