album cover
Dear Ex
album cover
Utwór Dear Ex został wydany 29 sierpnia 2026 przez PTA TZ jako część albumu Dear Ex - Single
29 sierpnia 2026
WytwórniaPTA TZ
BPM97
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Ex wangu naomba ubebwe na tsunami
Kitu kizito kikudondoke kichwani
Kizazi chako chote naomba kilaniwe
Mtoto wakwanza mwiz wapili mama ntilie
Na kwanini ex wangu we ufanikiwe
Ukifanya biashara mi naomba ibiwe
Yani ex kiufupi we ufiki mbali
Ata ukipata nauli uwishie apo mabalali
Yan ex kiufupi wewe ufiki mbali
Ata ukipata nauli uwishie apo mbalali
Niseme tu ukwel ex mi nakuchukia
Naomba ata mungu kukumba angerudia
Niseme tu ukweli ex mi nakuchukia
Namuomba mungu atakukumba angerudia
Ex wangu bomu la jenzi likukute
Ufee vibaya waiting wasikuute
Kwanza siku ya kukutana naomba irudiwe
Niokotee mae nikubonde niuukumiwe
Dear ex nakutakia maisha magumu
Ata uyo ulienae natamani akupe sumu
Sikuombeagi utajir me nakuombea ziki
Ukosee raha furaha pesa pia na marafiki
Iran wakosee bomb likukute nyumbani
Kama maisha ni dirasa basi ufeli mtihani
Kuna vitu natamani vitokeee maishani
Usingiziwee kesi uwendee gerezani
Usingiziwe kesi tumekuchoka mtahani
Unavokula chakula kikukabee kwenye koo
Natamani nikurogee usione tena chooo
Upate ajari mbaya ya ndege usipone
Tena udondoke Baharini papa wakuone
Nataman ufamaniwe af wakupake mafuta
Wawe wngi wakukamie mpaka unakufaa
Written by: Pluto tz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...