album cover
Star
album cover
Utwór Star został wydany 11 września 2026 przez Black Market Records jako część albumu Star - Single
11 września 2026
WytwórniaBlack Market Records
BPM184
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

Nilimshow mi ni star mi hukua fly mi mi hupaa
Mi hukua high peng ni wa daystar
Ye hukua mshy mmh pesa
Ndo sometimes inafanya anacheka
Haha shy girl class ikiisha tupatane maidha
Zile vitu si hufanya za kawaida
Kugotea mamsela tire bangaiza
Zimeshika hakuna msee anashikanisha
Juu design si hufly hakuna msee ametushinda visa
Na yote tisa ukitoa moja ameivisha
Tunafry liver na kaquater alimaliza
Ye hunimaliza kuna siku aliniuliza
Nikadeny kabisa juu unajua mi ni star
Nilikataa nikamshow aai hapana mi ni gangster
Tukatoka kubuy lasagna
Najua kumanouver hizi mitaa
Uliza tunnel wanajua mi ni taa
At the end wananiita minister
Haya basi itisha kama utamaliza
mi ni star mi hukua fly mi mi hupaa
Mi hukua high peng ni wa daystar
Ye hukua mshy mmh pesa
Ndo sometimes inafanya anacheka
Haha shy girl class ikiisha tupatane maidha
Zile vitu si hufanya za kawaida
Kugotea mamsela tire bangaiza
Zilishika gava wakashikanisha
Juu Design tulifly hakuna msee alitushinda visa
Niko na msupa ako na class ya saa tisa
Daystar anataka ati nyongi nabakisha
Tupite choche ai si tushike smokie
Alafu galdem nimchoche ai vile ye pukie
Vilipuzi ai mbona hazilipuki
Kwanza ameshika grams grams ka za tukiz
Najua kumanouver hizi mitaa
Uliza tunnel wanajua mi ni taa
At the end wananiita minister
Haya basi itisha kama utamaliza
mi ni star mi hukua fly mi mi hupaa
Mi hukua high peng ni wa daystar
Ye hukua mshy mmh pesa
Ndo sometimes inafanya anacheka
Haha shy girl class ikiisha tupatane maidha
Zile vitu si hufanya za kawaida
Kugotea mamsela tire bangaiza
Written by: Joseph Nyamweya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...