Letra

Nenda kamwambie, ah-huh Na jinsi navyo mpenda mi', ah-huh Na kama mapenzi bado, ah-huh Mwambie ntayaongeza mi' Nasema kamwambie, ah-huh Na jinsi navyo mpenda mi', ah-huh Na kama mapenzi bado, ah-huh Mwambie ntayaongeza mi' Sio ningie mori, nyota na mbalamwezi Ah, viwe mali yake yeye Natamani ila tatizo siwezi Huenda ingefanya nielewe (akuna) Si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie Akanidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri nimwimbie So asidanganywe na gari burudani na fedha mimi akanichukia Akalishusa thamani penzi nalo mpenda, kisa mvinyo na beer Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia Mmh, mwambie asisikie mapenzi Moyo wangu unaumia, eeh Nenda kamwambie, ah-huh Na jinsi navyo mpenda mi', ah-huh Na kama mapenzi bado, ah-huh Mwambie ntayaongeza mi' Nasema kamwambie, ah-huh Na jinsi navyo mpenda mi', ah-huh Na kama mapenzi bado, ah-huh Mwambie ntayaongeza mi' Ah, nasema siku hizi huwaga hakuna fungate Mapenzi hayana thamani Hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi wanatamani Ah-uuh, wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea Mh, nenda mwambie ajihadhari, na dua njema namwombea So asidanganywe na gari burudani na fedha mimi akanichukia Akalishusa thamani penzi nalo mpenda, kisa mvinyo na beer Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia Mmh, mwambie asisikie mapenzi Moyo wangu unaumia, eh-yea Akamwambie, amwambie Amwambie, amwambie, amwambie (eh-yea) Amwambie, amwambie, amwambie (eh-yea) Nenda kamwambie, ah-huh (kamwambie) Na jinsi navyo mpenda mi', ah-huh (navyo mpenda sana) Na kama mapenzi bado, ah-huh (mmh, yea) Mwambie ntayaongeza mi' (nitayaongeza mama) Nasema kamwambie, ah-huh (mmh, mbie, ah-huh) Jinsi navyo mpenda mi', ah-huh (mpenda sana) Na kama mapenzi bado, ah-huh (mmh, yea) Mwambie ntayaongeza mi' (nitayaongeza mama) Ah-ah, ah-yea, huh Oh-oh, oh-oh Yeah, I was being around, but thanks, Bob Junior Mr Chocolate flavor 'Coz now am here Sharobaro records Records, records si ni records It's Diamond Platinumz baby Yoh, holla back ladies It's time to hang your love, your love, your love
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out