Vídeo da música
Músicas mais populares de Healing Worship Team
Músicas semelhantes
Letra
Yesu ananipenda, tena ananijali
Upendo wake wote wanizunguka
Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake
Yeye ni mwenye huruma atakuokoa
Yesu ananipenda, tena ananijali
Upendo wake wote wanizunguka
Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake
Yeye ni mwenye huruma atakuokoa
Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa
Alishika pindo la Yesu, akapata kupona
Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa
Alishika pindo la Yesu, akapata kupona
Nina wimbo mpya moyoni, wa kukusifu ooh ooh na kukuabudu
Mimi nimewekwa huru kwa damu yake eeh, sasa nimeamua kumuimbia
Nina wimbo mpya moyoni, wa kukusifu ooh ooh ooh ooh na kukuabudu
Mimi nimewekwa huru Eeh, kwa damu yake eeh eeh, sasa nimeamua kumuimbia
Yesu ananipenda, tena ananijali
Upendo wake wote wanizunguka
Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake
Yeye ni mwenye huruma atakuokoa
Yesu ananipenda, tena ananijali
Upendo wake wote wanizunguka
Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake
Yeye ni mwenye huruma atakuokoa
Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa
Alishika pindo la Yesu, akapata kupona
Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa
Alishika pindo la Yesu, akapata kupona
Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa
Alishika pindo la Yesu, akapata kupona
Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa
Alishika pindo la Yesu, akapata kupona
Kumbuka yule mwanamke aliyekuwa anaumwa
Alishika pindo la Yesu, akapata kupona
Yesu ananipenda, tena ananijali
Upendo wake wote wanizunguka
Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake
Yeye ni mwenye huruma atakuokoa
Yesu ananipenda, tena ananijali
Upendo wake wote wanizunguka
Shikilia pindo Lake na uite Jina Lake
Yeye ni mwenye huruma atakuokoa
Lyrics powered by www.musixmatch.com