Letra

Sasa nangoja matokeo x3 Kutoka kwake jalali Mimi nime fanya mitihani mingi Sana ha! Nimepitia madarasa mengi sana ha! Na kila darasa yawe umekuwa mwalimu wangu Umenifunza kuomba Umenifunza sibira umenifunza kungoja hee we! nimekuwa mwanafunzi mwema kwako bwana Sasa na ngoja matokeo x4 Kutoka kwake jalali Ni usiku mrefu mbona hakupambuzuki ohh! Nimeharibu Sana kukupendeza maishani mwangu Nimefanya kazi yako hiyo umeona YESU Nimetoa fungu la kumi hiyo umeona baba Nangojea na ngojea matokeo yangu ulisema nikitoa nitabarikiwa Sasa na ngoja matokeo x4 Kutoka kwake jalali x4 Asubuhi ikifika ije na amani Asaubuhi ikifika ije na kicheko Asubuhi ikifika ije na Furaha Asubuhi yangu ikifika ije na jibu languuu Sasa na ngoja matokeo x8 Kutoka kwake jalali x8
Writer(s): Gloria Muliro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out