Letra

Aaaah eeeeh Fahamu anakupenda sana aaah aaaah Na hii salvation yako haitadunda aaah aaaah Miye msela sina hela Alikupenda bila hela Miye msela sinanga hela Alikupenda bila hela Amekuwa akinihanda amekuwa akinitesa mimi iiii aaaah Sababu mi mlofa na sina hela Miye fukara just imagine Bado nafsi yangu ni kwako wewe Kuokoka kwangu ni kwako wewe Ni kwako ni kwako oooh Ni kwako ni kwako wewe Ni kwako ni kwako oooh Ni kwako ni kwako wewe Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana Ni ukweli usilie mwenzio Maulana yuko na wewe akujali Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka Ni kweli uko mbali na mimi Uko mbali na uda wangu Lakini msela mimi huyu Sitolia kamwe yeeeyeeh Mwana we mwana nakuambia tulia Mwana we mwana si vyema kulia Mola anakuangalia Anakufikiria Atakuangazia eiiyeyeye Mateso ni ya muda tu Mtihani utaupita tu Hata usiku uwe mrefu ndugu, uuuh kutapambazuka Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana Ni ukweli usilie mwenzio Maulana yuko na wewe akujali Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka Ni heri nimtazamie Mtazamie Mola Ni heri nimkimbilie Mkimbilie Mola Ni heri nimtumainie Mtumainie Mola Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana Ni ukweli usilie mwenzio Maulana yuko na wewe akujali Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out