Letra

Instrunmental Nipo na chemsha ubongo Sijui wapi nianzie Tena napoteza malengo wouwou Mtunze niumie Niliyempenda Ati naye kapenda kwingine Usinione nakonda Waka sikondi na mengine Ana mapenzi ya kibabe babe Anachotaka yeye ale ashibe Nikikosa nikabe kabe Ili mradi ajiridhishe Ana mapenzi ya kibabe babe Anachotaka yeye ale ashibe Nikikosa nikabe kabe Ili mradi yaani aridhike Nimejipa moyo Kuwa ye nitadumu naye tu Kwenye maisha yangu Nimejipa moyo Kuwa ye nitadumu letu Ndo awe mke wangu Ila hana huruma Hana huruma Hana huruma, hana huruma Hana huruma kweli na mimi Usiku wa manane anatweka tweka Sina tofauti na mlinzi mbwa anayebweka Ona anadina mimi kwake lofa Tena sina zaidi mi kukuwa jinga Kwanini kwanini Anafanya huzuni Kumpenda nampenda kweli kweli Vipi awe hivi? Ana mapenzi ya kibabe babe Anachotaka yeye ale ashibe Nikikosa nikabe kabe Ili mradi ajiridhishe Ana mapenzi ya kibabe babe Anachotaka yeye ale ashibe Nikikosa nikabe kabe Ili mradi yaani aridhike Nimejipa moyo Kuwa ye nitadumu naye tu Kwenye maisha yangu Nimejipa moyo Kuwa ye nitadumu letu Ndo awe mke wangu Ila hana huruma(Hana mapenzi ya kweli) Hana huruma Hana huruma, hana huruma Hana huruma kweli na mimi Kwanini mapenzi Yanaumiza roho No no no no Yanaumiza kweli Mbona asingekuwepo ningekua hodari
Writer(s): Debase Bella Enock Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out