Letra

Nahisi kama naota Na kumbe reality tayari Aliyefanya nateseka Ni wewe Na nafsi inachochota Najipa imani sijafeli Nahitaji faraja Hata chembe nipewe maa Macho pembeni nisikupe pesa Kwako yaani nishafika Kumbe makucha uliyaficha Na ushanikwarua ooh Na zangu hisia umeziteka Nilipokosea sawazisha Usije hadharani kuanika Ukaniumbua oh nah nah nah Na nakuombea Mungu Akuepushe na mabaya Hali dhiki mafungu Ila la kwangu ndo limepwaya Nalia nalia kwa uchungu Umenitoroka nyuma ya idhaya Ni wewe japo nilikudhamini Na nikakuitaga Wandoto wandoto Wandoto, wandoto Ah ni wewe wa ndoto Leo penzi umeliweka vikwanzo Wandoto wandoto Wandoto, wandoto Wandoto uliyekuwa ni wewe Na kichwa umekiachia mawazo (Oooh ooh, aah yeiye) Kweli usiku wa giza usilolijua Sikuwaza, sikudhania kuwa utanibagua Sa unafikiri nani wa kupika pakua Ni wewe Kishida kijiba cha roho mwenzako naugua Haya no commando siwezi jipindua Nawe ndo dereva umezamisha mashua Ni wewe ni we eh Ila mwenzako bado bado Moyo unasonona Manati bila kipago Nikuulize wapi uliona Mi nina uzoefu wa kufunga goal Uvivu wa kufua foronya Yaani siamini yes umegeuza no Na kwako mi mtoto nahitaji nyonya Wandoto wandoto (Ni wewe) Wandoto, wandoto Ah ni wewe wa ndoto Leo penzi umeliweka vikwanzo Wandoto wandoto Wandoto, wandoto
Writer(s): Ibrahim Nampunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out