Vídeo da música

Vídeo da música

Créditos

INTERPRETAÇÃO
Sauti Sol
Sauti Sol
Interpretação
Bensoul
Bensoul
Vocais
Kaskazini
Kaskazini
Vocais
Xenia
Xenia
Vocais
Nviiri The Storyteller
Nviiri The Storyteller
Vocais
Okello Max
Okello Max
Vocais
nhp
nhp
Vocais
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Vocais
Willis Chimano
Willis Chimano
Vocais
Savara
Savara
Vocais
Polycarp Otieno
Polycarp Otieno
Violão
Savara Mudigi
Savara Mudigi
Vocais
COMPOSIÇÃO E LETRA
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Composição
Willis Chimano
Willis Chimano
Composição
Savara
Savara
Composição
Polycarp Otieno
Polycarp Otieno
Composição
Kagwe Mungai
Kagwe Mungai
Composição
NVIIRI SANDE
NVIIRI SANDE
Composição
Julius Okello Mcrymboh
Julius Okello Mcrymboh
Composição
Xenia Manaseh
Xenia Manaseh
Composição
Benson Mutuya
Benson Mutuya
Composição
Joe Mutoria
Joe Mutoria
Composição
Derrick Gaitara
Derrick Gaitara
Composição
PRODUÇÃO E ENGENHARIA
Sauti Sol
Sauti Sol
Produção
DTX
DTX
Produção
Kagwe Mungai
Kagwe Mungai
Produção

Letra

Kuna rhumba ya Juja, na ni ya maboy
Ukisaka mitumba, enda rhumba ya Toi
Kuna rhumba ya Kibich, utajua hujui
Kuna rhumba for all you **** ila Rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba ya state house, iko chini ya maji
Kuna rhumba ya bunge, (Ya majambazi)
Ukileta ujinga, (Utalala ndani)
Kuna rhumba for all you **** lakini Rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi, tumezungukwa na shisha na shahsamani
Mapochopocho na vinywaji mbali mbali, wengine wanatapika wakizirai
Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha kipaparazi, tumezungukwa na warembo geti kali, tunazitoka na style za kizamani
Kuna rhumba ya Westy, ya mabeshte
Wa mashinani, sheki your waiste
Rhumba ni nyepesi, isikue kesi
Kuna rhumba for all my ****, ila Rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba Karura, ya kupanda miti
Ukiwa Koinange, hakunaga risiti
Rhumba Oyole, hio no ya mangwati
To all of my hoes and all of my ****, Rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer kama chwani
Kuna mapedi mapoko pia mapinji, na wanaseti michele kwenye vinywaji
Hapa ni wapi, kuna visanga vioja mahakamani, wapenzi wakupeana mate hadharani, wengine wanatekana nyuma ya taxi
Nitie rhumba Obunga, mano mar jothurwa
To kidwa bilo mbuta, rieri yo manyata
Yawuoi orwaka akala, to nyiwa ondiso avunja
Kuna Rhumba for all you **** lakini Rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje kwa foleni, na raia wako ndani wajivinjari, wanazitoka na style ni za ki-Odi
Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta utiaji, wakafungia wakubwa nje ya party, wakaachia ofisi wafanyikazi
Written by: Benson Mutuya, Bien-aime Baraza, Derrick Gaitara, Joe Mutoria, Julius Okello Mcrymboh, Kagwe Mungai, NVIIRI SANDE, Polycarp Otieno, Savara, Savara Mudigi, Willis Chimano, Xenia Manaseh
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...