Letra

Hallelujah, haa Yeye ni Mungu akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Baba akipanga amepanga Yeye ni baba Yeye ni vyote akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Mungu amepanga amepanga Maana ye Mungu Amesema hatutakuwa chini Ameshasema maana ni Mungu Amesema kesho yetu ni kubwa Kasema maana ye ni Mungu Usiliee, hee Amesema yeye ni Mungu Usichoke kasema yeye ni Mungu Hawajajua amepanga mazuri Mungu Wangejua kesho yako ni ipi Wangejua wasingekukimbia Kwa sababu unalia wamekuchoka Wangejua wangevumilia na wewe Wangejua leo yangu ni hii Jana yangu wasingenitesa Yeye ni Mungu akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Baba akipanga amepanga Yeye ni Baba Yeye ni Mungu akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Baba akipanga amepanga Yeye ni Baba Kwasababu tuko na Mungu Ndugu zangu vita tutaishinda Yeye ni Mungu akijibu ameshajibu Mungu yetu yuko mbinguni Anatazama atende kwa haki Amewacha wote wakimbie Akitenda anatenda kwa haki Wangejua wewe ni nani Wote wasingekukimbia Wangejua wewe ni nani Wote wasingekuacha Wamekusukuma uende mbali Usijali Mungu anatenda kwa haki Wamekushtaki ili uhukumiwe Usihofu Baba anajibu kwa haki Wangejua kesho yako hautalia Wangejua wangevumilia na wewe Kawaida ya watu wanachoka Wangejua wasingekuchoka Yeye ni Mungu akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Baba akipanga amepanga Yeye ni Baba Yeye ni Mungu akisema amesema Yeye ni Mungu Yeye ni Baba akipanga amepanga Yeye ni Baba
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out