Letra

Mimi Nina wimbo, wimbo, wimbo Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo Mwenzenu nina wimbo, wimbo, wimbo Eheeehhh Wohooooo, yeeeeh ahhh Nina wimbo, wimbo, wimbo Mimi nina wimbo, wimbo wa sifa Wimbo, wimbo, wimbo Wimbo wa shukrani Wimbo, wimbo, wimbo Yesu wimbo wangu Wimbo, wimbo, wimbo Nitamwimbia Bwana kwakua ametukuka sana Farasi nampanda, farasi amevuka bahari Mungu kwa rehema zake amewaongoza watu wake akawakomboa Vizazi vya watu wameskia na wametetemeka Nina wimbo, wimbo, wimbo Mimi nina wimbo, wimbo, wimbo Wimbo wangu ni Yesu Mimi nina wimbo, wimbo Mwenzenu nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo Eeh Bwana Katika miungu nani aliye kama wewe Mtukufu katika utakatifu Mwenye kuogopwa katika sifa zote Mfanya maajabu kwa pekee Jehovah, jehovah Wewe ndiwe wimbo wangu Yaweh, yaweh Wewe ndiwe wimbo wangu Mwokozi, mwokozi Mkombozi, mkombozi Tabibu, tabibu Wewe wimbo wangu Mwokozi, mwokozi Tabibu, tabibu Wewe wimbo wangu Rabbi, rabii Wewe wimbo wangu Mwalimu, mwalimu Wewe wimbo wangu Nina wimbo, wimbo, wimbo Yesu wimbo wangu Nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo Mimi nina wimbo Wimbo, wimbo,wimbo Yesu wimbo wangu Wenzenu nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo Yesu furaha yangu Nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo Jawabu la shida zangu Nina wimbo, wimbo, wimbo Ukimwita anajibu Nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo Wimbo wangu Mwenzenu nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo (Nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo) Wimbo wa rafiki yangu kipenzi Yesu rafiki yangu Mimi nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo Mimi nina wimbo Nina wimbo Wimbo, wimbo, wimbo Haleluyah Mwenzenu nina wimbo Wimbo, wimbo,wimbo
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out