Letra

Mauti nayo, mauti nayo ulishinda Unaitwa Simba tena wa Yuda Kushindwa hujui hiyo agenda Ndio maana mimi nakuimba Unaponya bila Bila sindano kudunga Kwa nguvu za giza bwana wewe hunilinda Kwenye mangonjwa bwana wewe huniponya Nikiwa na wewe Sina budi kuringa Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote-chochote kile Wewe ni wa pekee, wewe Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Sema wewe Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee (one more time) Sema wewe Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Ni wewe, usiyeshindwa Ni wewe, oh mungu wangu, usiyeshindwa Oh mungu wangu, ni wewe, yeah baba yangu, usiyeshindwa Ni wewe, niwewe, ni wewe eh eh, usiyeshindwa Ni wewe bwana, niwewe, mh mh, usiyeshindwa Sema wewe Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Sema wewe Wewe, haulinganishwi kamwe (no no no) na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Sema tena we mfalme Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee Sema ni wewe bwana Ni wewe, ni wewe, usiyeshindwa, ni wewe bwana, ni wewe Mungu wa miungu, usiyeshindwa Mfalme wa wafalme, bwana wa mabwana Ni wewe, wewe ni mungu usiyendwa bwana, usiyeshindwa Ulikuweko toka zamani, ni wewe Utakuwepo hata milele, usiyeshindwa Ati umefanya mbingu na nchi, ni wewe Na ukatufanya kwa mfano wako, usiyeshindwa Umenifanya kwa sura yako, ni wewe Ili nifanane na wewe mungu, usiyeshindwa Unaishi ndani yangu, ni wewe Tena unadumu ndani yangu, usiyeshindwa Utabaki milele na milele, ni wewe Wala hufananishwi na mtu yeyote, usiyeshindwa Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, ni wewe Hakuna ka wewe hakuna kama wewe, usiyeshindwa, oh Sema ni ni wewe bwana, ni wewe Ni wewe, usiyeshindwa, niwewe, ni wewe Umeketi juu ya vyote, usiyeshindwa Bwana ni wewe, ni wewe Wala sina mashaka na wewe mfalme, usiyeshindwa Bwana ni wewe, ni wewe Tunakutaja, tunakutaja, usiyeshindwa Bwana ni wewe, ni wewe Unadumu vizazi na vizazi, vizazi na vizazi, usiyeshindwa Ni wewe, usiyeshindwa, no Ni wewe, eh eh eh eh, usiyeshindwa Ni wewe, eheheheheeh, usiyeshindwa Ni wewe, eheehehee, usiyeshindwa oh oooh Ni wewe, sema usiyeshindwa (usiyeshindwa) Oh oh mh (ni wewe usiyeshindwa) Mungu wangu mungu wangu (ni wewe usiyeshindwa) One more time say (ni wewe usiyeshindwa)
Writer(s): Paul Clement Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out