album cover
Wanjapi
16.910
Hip-Hop/Rap
Wanjapi foi lançado em 2 de julho de 2021 por NEVER DIE RECORDS como parte do álbum UNCO - Single
album cover
Data de lançamento2 de julho de 2021
SeloNEVER DIE RECORDS
IdiomaEnglish
Melodicidade
Acusticidade
Valence
Dançabilidade
Energia
BPM99

Vídeo da música

Vídeo da música

Créditos

COMPOSIÇÃO E LETRA
Angelo Yohana
Angelo Yohana
Composição

Letra

[Chorus]
Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wah wah wah wah wah wanjapi
Piga luku kula wanjapi ah aha wanjapi
Piga luku kula wanjapi wah wah wah wah wah wah wanjapi
[Verse 1]
Piga luku kula mboto jump inna dih photo
Ni kama kuna joto vidole ni mangoto
Mangoto moto moto kwa mkono wa kushoto
Clarks pon clarks ah mih gang fi dih shine
Mambati kwa wingi sijaomba ni za mine
Lagunya Delta macat ziko fine
Ka gwanda si oriji don't waste my time
[Chorus]
Piga luku kula wanjapi mh mh wanjapi
Piga luku kula wanjapi wanjapi
Piga luku kula wanjapi wanjapi
Piga luku kula wanjapi wanjapi
[Verse 2]
To I looking fresh is important
Luku jamo fisa juu chini siezi kosa
Ata kama siko mboka sky larking na makeen na kimbota
To I looking fresh is importaant looking fresh is important
Ata kama siko mboka sky larking na makeen na kimbota
Mih have nowhere fi go lakini kuna luku ninataka kuwashow
So nawapita slow mo ukembe luku ukidai mboto kuja na madooh
Mih have nowhere fi go lakini kuna luku ninataka kuwashow
So nawapita slow mo ukembe luku ukidai mboto kuja na madooh
[Chorus]
Piga luku kula wanjapi mh mh wanjapi
Piga luku kula wanjapi wanjapi
Piga luku kula wanjapi wanjapi
Piga luku kula wanjapi wanjapi
[Verse 3]
Nimevaa gwanda za kiwanga
Gwanda za ki G magwanda ni mafosa
Machina kujipa skylarking ni rima
Skylarking ni rima skylarking ni rima
[Verse 4]
Jinika ni ya corduroy njumu ni kiboko
Hii kangol lazima ikae kombo
Na nikitrace na warena maream zimewaka
Hii nganya lazima ikae lambo
Hotter than you tuko hapo
Me na luku ni kama tu macouple
Makastade wanaitisha
Kaa una mamboi basi unaeza zirudisha
Gwanda ni gwanda kula wanjapi rap doctor
Written by: Angelo Yohana
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...