Letra

(Ayolizer) Masikini hana fuba, hana fuba Anazeeka yule mwezangu Haamini anavyochunda anachunda Nimeondoka na nyota yangu Nafsi ilichoka madhira (Ooh madhira) Ya pundazo na fadhila (Ooh fadhila) Nimempata wa njema dhamira (Ooh dhamira) Wa kufunga magoli si wa bila (Ooh wa bila) Mmmh shata shata (Shata) Penzi limetaradadi Sina shaka (Shaka) Inyeshe na ipige radi Rasha rasha (Rasha) Kwetu mambo maji maji Baby washa washa (Washa) Waambie wanaosubiria Bado nipo nipo nae Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae) Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae) Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae) Mi bado nipo na yeye Naomba msitufuate Naomba msitufuate Naomba msitufuate Naomba msitufuate Raha, raha mustarehe Sijaomba napewa Nifikishwe nitosheke Raha kila siku sherehe Jamani nanyenyekewe Eti nile nikogeshwe Penzi birika, yake sifai ni kimiminio Ah nimeshikwa, kwenye kichwa mpaka masikio Mambo tartita, ulichosusa hakula mwenzio Mwana ana sifa, ananipa paja kwa kipapatio Amekupenda mama tulia tulia Tule zetu ni ujana, dunia dunia Mambo ya wanadama, puuzia puuzia Wapasuke bandama, sindano ishawaingia Mmmh shata shata (Shata) Penzi limetaradadi Sina shaka (Shaka) Inyeshe na ipige radi Rasha rasha (Rasha) Kwetu mambo maji maji Baby washa washa (Washa) Waambie wanaosubiria Bado nipo nipo nae Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae) Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae) Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae) Mi bado nipo na yeye (Wasafi)
Writer(s): Mbwana Yusuph Kilungi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out