Vídeo da música
Vídeo da música
Créditos
INTERPRETAÇÃO
Lava Lava
Vocais principais
COMPOSIÇÃO E LETRA
Lava Lava
Composição
PRODUÇÃO E ENGENHARIA
Abbydad
Produção
Letra
Ana shepu buffalo, mwendo kama hakanyagi chini (Hakanyagi chini)
Njonjo kangaroo, kafungasha double kibini (Double kibini)
Ana guu la beer (Tende), kifuani dodo (Pembe), kipo table dayna nyange
Akitembea (Ndembe-ndembe), yani ka' (Mzembe), mambo yote paambe
Eeh okotaa, usiogope okotaa, eeh okota (Inama-inama)
Eeh okotaa, usiogope okotaa, eeh okota
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Kanabinua binu, kanabinua mugongo
Kanabinua binu, kanabinua mugongo
Kiuno sakata, nizame topeni nisafishe dimbwimbwimbwi!
Mtoto prakata, kiuno shanga cheni, kishundu mbwimbwimbwi!
Cheza nikuonge Verosa (Aah Verosa!), shaku-shaku shogorosa, (Shogorosa!)
Uganda Maria Rosa (Aah Rosa!), Lagos dance makosa (Dance makosa!)
Eenh okotaaa, usiogope okotaa, eeh okota (Inama-inama)
Eenh okotaa, usiogope okotaa, eeh okota (Fanya umechutama)
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Niuwe! Niuwe! Niuwe mama niuwe
Kanabinua binu, kanabinua mugongo
Kanabinua binu, kanabinua mugongo
Kanabinua binu, kanabinua mugongo
Kanabinua binu, kanabinua mugongo
Written by: Lava Lava