Créditos
INTERPRETAÇÃO
Nikk Wa Pili
Vocais
Rayvanny
Vocais
COMPOSIÇÃO E LETRA
Rayvanny
Composição
PRODUÇÃO E ENGENHARIA
Lizer Classic
Produção
Letra
Nimeanza safari ya penzi na wewe usiikatishe, eeh, Mungu mwema baba mbali atufikishe, eeh
Mi binadamu nakosea nikiteleza usiuzunike, eeh, milele mwanadada nikifa unizike
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, natamka (Ni wewee)
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama (Ni wewee)
Imenishinda siri Kifuani mwangu (Aah aah)
Nikupeleke nyumbani kwetu Sheri eeh, ukawajue na ndugu zangu mama aaah
Unipeleke nyumbani kwenu bibi wewee, nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah
Siri ya nini (Siri), nini maana yake ooh (Siri)
Siri ya niini (Siri), nini hasara zake (Siri)
Siri ooh siri mapenzi ya siri iih
Ooh Mama loloh, ooh mama lolooh
Ooh mama loloh
Eeh mama, nipe utamu kabla ujatamka usingizi, si come mpaka tukiamka ni series
Kakonko twende kamara kibirizi, mapaja yake utamu michirizi
Michepuko imenuna imezila siri-siri, na wee ni kachumbali mayonnaise pili-pili
Pili-pili Manga tunakilikili Wanga, Kilimanjaro nyumbani kwetu Kisimili Mwanga
Si mama Nikk simama wima, siri ya mapenzi nikufikishe kwa kina
Umebeba beba, mkungu wa Muleba, uchungu kama kwao wakajifungue leba
Umebeba beba, mkungu wa Muleba, uchungu kama kwao wakajifungue leba
Ooh mama loloh (Mama lolo kwako sijiwezi), ooh mama lolooh
(Sitoficha mdudu mapenzi) oh mama loloh (Mama lolooh, kwako sijiwezi), ooh mama lolooh
Mama loloo ooh, ooh
Kwenye kamoyo mi sina (Siri), Je nikutaje ka jina (Siri)
Wajue wenye fitina (Siri), Jembe nipo nalima (Siri)
Basi nawe usifiche maa (Siri), sema watupishe naa (Siri)
Vichefuchefu watapishe naa (Siri), penzi letu lisiishe maa (Siri)
Owe, owe oweoo, owe, owe owaa, owe, owe oweoo, owe, owe owaa
(Siri ya nini) Owe, owe oweoo (Nini maana yake), owe, owe owaa
(Siri ya nini) Owe, owe oweoo (Nini hasara zake), owe, owe owaa
Written by: Nikk Wa Pili, Rayvanny